Publication1

TABIA 5 A

Kitabu cha Tabia 5 za watu waliofanikiwa kimeweka wazi na kuufumbua ukweli kwamba wewe umeumbiwa uwezo na vipaji vya kipekee ndani yako ambavyo ukiamua kuviishi vitabadilisha maisha yako kuwa bora zaidi ya sasa na vitakupatia kazi yenye kipato utakayoifurahia siku zote za maisha yako.

Tabia 5 za watu waliofanikiwa

i.e. (5 HABITS OF SUCCESSFUL PEOPLE) is a new extraordinary personal development motivational book written by Erick Chrispin the founder and managing Director of TrueMaisha Training Company. It has dramatically influenced positive change to many people in Tanzania since it came out in June, 2014 . Many people are still grabbing it now.

Piga/call: +0653808032 au andika kwa info@truemaisha,com ili kujipatia kitabu sasa.

Gharama yake ni Shs. 10,000/= tu.

 

Mtazamo wako ni upi?, Henry Kazula

VIEW 1Mtazamo wako ni upi ni swali mahsusi kwa kila mwana jamii mpenda maendeleo, ukizingatia kuwa mtazamo wako ni maisha yako. Katika kitabu hiki mwandishi makini anakuleta moja kwa moja na kukuonesha mbinu stahiki ili kuuweka mtazamo wa maisha yako katika hali iliyothabiti, yenye kuleta mafanikio na furaha maishani.

Henry Kazula ni mwanzilishi ?na mmiliki wa kampuni ya Jielimishe Kwanza Social Enterprise inayojihusisha na kutoa mafunzo ya kushawishi mabadiliko ya pamoja ndani ya jamii kwa na mtu mmoja mmoja kimaisha.

Piga/call: +0653808032 au andika kwa info@truemaisha,com ili kujipatia kitabu sasa.

Gharama yake ni Shs. 12,000/= tu.